[emoji1787][emoji1787]Nilisikia story morogoro pale karibu na round about ya stand ya dala dala mjini kuna kijiwe fulanu cha kahawa, jamaa walikuwa wanasimuliana kuwa kuna mwamba upo chini ya mlima inasemekana watu wakiutoboa kidogo tuu Morogoro mjini yoote inajaa maji.
Sent using
Jamii Forums mobile app