Story za mkeo/mpenz wa ndoa

Story za mkeo/mpenz wa ndoa

nyumba kubwa well said..
Kweli bwana kuna watu kuongea wamejaaliwa yaani wanajua namna ya kupangilia maneno mpaka basi..
Ninaye shemeji yangu kwa kweli ukifika kwake unabaki kucheka tu..she is truly a charming lady..
Bahati mbaya mume wake hapendi vile anavoongea..so, unakuta akianza stori zake broo anaanza kumtuma ili mradi amkate flow ya maongezi..Kingine nilichogundua kupitia huu uzi..wanaume wengi hawapendi kustorishwa na wake zao..
Na wanapenda ile ya one way traffic conversation..yaan mke awage wa kuulizwa na kuitikia tu..lol!!

Asante sana kama vile ulikuwa kwenye akil na mawazo yangu. Umenena vema
 
Last edited by a moderator:
Unajua hii mambo ya kuchuniana ndio yanayosababisha watu watafuta partners wa kuchat nao mitandaoni...shaulilenu nyie ma men msojua sisi tunapenda nini.
 
Its like this, u dont know me, I dont know u, Ijust found u here in JF as we r all members. I didnt enterfear ur life so my life with SnowBall inakuhusu nini? inakuuma mimi kuwa na SnowBall, after all wengi hapa ni behind the scenes.
Pamoja na kutokukufahamu wala kujua umri na jinsia yako, nakuheshimu as i used to respect everyone, nimechukia kuniambia najishebedua am sorry and am sorry but pls dont do that again!!!!
Vijana watanashati wa JF unawaangalia kwa avatar au? kama watu wanafahamiana out of JF au hawafahamiani wewe inakuuma nn? changia thread then unasepa, na ukiona unaboreka zima computer yako au zima simu yako ulale sio ukwaze na kufatilia maisha ya watu.
Naomba habari zangu na SnowBall uniachie mwenyewe haikuhusu haikuhusu hata kidogo, KIRANGA haihuuuuu....
Mdomo ni mali ya mtu kuongea vile atakavyo but with respecting one another,
Pinga unachopinga ila sio kunidadicate mimi na kutaja id zetu as unavofikiri wewe
Please i need my respect

Kuumbe,

Mkuki mtamu kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.

Mme akikuchunia kwenye gari haraka unakuja kushtaki JF.Tunakwambia ni "emotional neglect". Unafurahi ukipata support.

Hapohapo unajionyesha kicheche, mke wa mtu unaanza kujishebedua online.Humfanyii sawa mme wako, kwa sababu hii nayo ni "emotional cheating" ambayo pretty soon inaweza ku turn physical.

Mke wa mtu ona haya kujirahisi mitandaoni.

Labda ndo maana bwana mkubwa kashtukia una elements za ukicheche ndo maana anakuchunia tu, na anaweza hata kukumwaga kama unaendelea hivi. Na mie sitamshangaa.

Habari zako na Snowball unaziweka wazi mtandaoni halafu unataka nikuachie mwenyewe? More like wewe ndo utuachie mzigo wa kuona emotional cheating inaendelea bila kusema kitu. Fanyeni mabusu yenu kwenye PM huko hamna atakayesema. Lakini wewe ushasema mke wa mtu, unachotakiwa kufanya ni kuiboresha ndoa yako, sio kuja kutafuta attention mitandaoni.

Una akili timamu wewe kweli?

With wives like these, could one wonder kwa nini vijana hawaoi?

I predicted this shyt, in 2Pacalypse!!!!
 
Kujibizana na mjinga ambaye humjui tena wa mtandaoni nawe unakuwa mjinga zaidi, I wont waste my time arguing with u, talk to urself, my gender, my marital status remains to me as i know who i am.
Damn :horn:Shit!!!!
 
Kheee!! Kulikoni tena?
 
Kujibizana na mjinga ambaye humjui tena wa mtandaoni nawe unakuwa mjinga zaidi, I wont waste my time arguing with u, talk to urself, my gender, my marital status remains to me as i know who i am.
Damn :horn:Shit!!!!

Huku hayupo, huko hayupo wankulaa oo.

Ataka ndogondogo.

Mie sikujui, nakujua kwa kupitia unayoyasema hapa, ambayo so far yamejaa inconsistencies.

Umetupa picha kama mke mzuri unayepata emotional abuse kutoka kwa mume. Tukaona haifai, tukaku support.

Only to find out kumbe unafanya some unscrupulous online gallivanting.

Unataka heshima ya kuwa mke wa mtu na hapo hapo unataka kuendeleza cheating kwa mumeo.

Ukiambiwa vibaya hivyo, unafura!

Kama wewe unavyoona si sawa mmeo kukufanyia emotianal neglect/abuse, na mie naona vibaya unavyomfanyia mumeo emotional cheating hapa na watu wengine.

Huwezi kutaka mumeo akutendee haki wakati wewe humtendei haki.

Your payload will catch up with you sooner or later.

Sasa naanza kuelewa kwa minajili hii ya "daamn shit" ni kwa nini bwana mkubwa anakuchunia tu.

Angalia jirekebishe kabla hajakumwaga kabisa.
 
ha ha haa ninaiona
sasa culture ya MMU ya sugarcoating words iko on test lol

There comes a time when we must call a spade a spade, and cheating cheating.

Mtu anajiliza tunamuona anaonewa, kumbe na yeye ovyooo, hana hata staha za kuwa mke wa mtu anazozililia.
 
..Habari zako na Snowball unaziweka wazi mtandaoni halafu unataka nikuachie mwenyewe? More like wewe ndo utuachie mzigo wa kuona emotional cheating inaendelea bila kusema kitu. Fanyeni mabusu yenu kwenye PM huko hamna atakayesema. Lakini wewe ushasema mke wa mtu, unachotakiwa kufanya ni kuiboresha ndoa yako, sio kuja kutafuta attention mitandaoni..

Sometimes you people better be sure of what you are talking about..
I see no clues for a person who is a well civilized having his mind well organised coming up with this childish conclusion..
How sure you are to come up with a such naive and void judgement??
Here in JF nobody knows somebody we meet here just to discuss issues and not people..
Presentation of issues differs from one person to another and there is no rule of thumb for which a person is entitled to table his/her ideas..some they put it like this and some might even personify the issues on their own..nobody is here to offend somebody..
If this is the only thing you drew out of the entire thread..i dare to say we still have a long way to go..
 
Maumivu ya kichwa huanza poole pole.

Nshazungumza hapa.

Huyu mke wa mtu, yuko vulnerable, anapenda attention ambayo haipati kwa mme wake, we unampa hapa.

I am not saying nothing but just be careful vikorombwezo vya JF rahisi sana ku spill in the real world, especially if all the stars are aligned.

Waungwana watajua mke wa mtu sumu, na mwanzo wa ngoma lele.

Lisemwalo lipo, kama halipo laja. Mzaha mzaha hutunga usaha, au hata mimba mara nyingine.

Emotional cheating ni cheating tu, mtu mke wa mtu kujirahisi hapa JF kwa malavidavi na mabusu kebekebe wakati anatuambia kuwa ana matatizo katika ndoa yake is not a good look kwako, kwake, na kwa JF.

Tutaonekana sote hatuna hishma mwishowe, watu wa kupenda mipira ya kona, wake za watu wenye matatizo katika ndoa zao.

Low hanging fruit, kama kumsukuma mlevi.

Not a good look.Not at all.

Mkitaka kuheshimiwa anzeni kujiheshimu wenyewe.

I drew a lot from this thread, but I daresay you are blind to the facts because your focused on the low hanging fruit.
 
Maumivu ya kichwa huanza poole pole.

Nshazungumza hapa.

Huyu mke wa mtu, yuko vulnerable, anapenda attention ambayo haipati kwa mme wake, we unampa hapa.

I am not saying nothing but just be careful vikorombwezo vya JF rahisi sana ku spill in the real world, especially if all the stars are aligned.

Waungwana watajua mke wa mtu sumu, na mwanzo wa ngoma lele.

Lisemwalo lipo, kama halipo laja. Mzaha mzaha hutunga usaha, au hata mimba mara nyingine.

Habari ya yeye ni mke wa mtu has nothing to do with me cuz i need nothing from her or anybody else..
I always respond with the thread tune and dance the melody of the post and thats it..
Whether you have something on your side as you think i have done something wrong as per thread requirements you better tell me buddy..Habari ya kuzunguka zunguka kwa mtoto wa kiume hapiendezi.
Biashara zangu huwa namalizia hapa kwenye thread..na ninapost kwa matakwa ya muktadha wa hoja..
Habari za mtu kusema i love you dear or any such nasty words kwa kipindi ambacho nimekuwepo hapa JF sio ngeni kwangu..Na after posting my ideas off i go..
 
...I drew a lot from this thread, but I daresay you are blind to the facts because your focused on the low hanging fruit.

I also dare to say that the said was your focus too..
Ifike mahali na sisi wenyewe kabla ya kunyoosha kidole kwa wengine tujiangalie na sisi..
Wewe huijui stori whether ni real or fictiuos..au mtu kaamua kutumia kisa cha mtu mwingine..ushahukumu kama ni mke wa mtu as if unamjua na tayari ushafanya pre-judging..utakuwa basi shehe Yahya...
Thank you being a JF Reverend!!!!
 
Habari ya yeye ni mke wa mtu has nothing to do with me cuz i need nothing from her or anybody else..
I always respond with the thread tune and dance the melody of the post and thats it..
Whether you have something on your side as you think i have done something wrong as per thread requirements you better tell me buddy..Habari ya kuzunguka zunguka kwa mtoto wa kiume hapiendezi.
Biashara zangu huwa namalizia hapa kwenye thread..na ninapost kwa matakwa ya muktadha wa hoja..
Habari za mtu kusema i love you dear or any such nasty words kwa kipindi ambacho nimekuwepo hapa JF sio ngeni kwangu..Na after posting my ideas off i go..

Wewe ndo unayezungukazunguka with your iterative "I am kidding, I am kidding".

Ukisema "habari ya yeye ni mke wa mtu has nothing to do with me" unaonyesha wewe unavyomtreat mwanamke aliyeolewa na asiyeolewa ni sawasawa, not a good look. Ungekuwa huhitaji chochote kutoka kwake ungemwambia "mamaa, umeolewa, hayo mabusu unayorusha na majina ya kimahaba hayafai". Hujafanya hivyo, umeya pokea kwa bashasha, jambo linaloonyesha unahitaji kitu.

Mke wa mtu hatari, especially akiwa katika majaribu, usimuongezee majaribu zaidi.

Unaweza kutuambia kwamba biashara zako unamalizia kwenye thread, lakini kwa nini ualike vishawishi kwa mke wa mtu? Tena mwenye matatizo?

Hivi wewe ungekuwa na mke wako, mna matatizo nyumbani, halafu anakuja JF anajirahisi rahisi kwa mtu mwingine kama huyu mke wa mtu anavyojirahisi kwako ungejisikiaje?
 
I also dare to say that the said was your focus too..
Ifike mahali na sisi wenyewe kabla ya kunyoosha kidole kwa wengine tujiangalie na sisi..
Wewe huijui stori whether ni real or fictiuos..au mtu kaamua kutumia kisa cha mtu mwingine..ushahukumu kama ni mke wa mtu as if unamjua na tayari ushafanya pre-judging..utakuwa basi shehe Yahya...
Thank you being a JF Reverend!!!!

Mie nakwenda kwa jinsi habari ilivyoletwa hapa.

Na hapana, mie si wa kutafuta low hanging fruit kwa sababu naamini uwezo wangu, hizo nawaachia nyie.

Tatizo mkivunja principle ya kuheshimu ndoa za watu - hata kama in a fictitious thread, kuna watu wana draw inspirations hapa na wengine wana define JF kwa conduct ya thread- mnatuaibisha.

Halafu kesho mtakumbatia label ya "Great Thinkers".

Kwa kazi gani? Ya kukumbatia ubaradhuli?
 
Wewe ndo unayezungukazunguka with your iterative "I am kidding, I am kidding".

Mke wa mtu hatari, especially akiwa katika majaribu, usimuongezee majaribu zaidi.

Unaweza kutuambia kwamba biashara zako unamalizia kwenye thread, lakini kwa nini ualike vishawishi kwa mke wa mtu? Tena mwenye matatizo?

Hivi wewe ungekuwa na mke wako, mna matatizo nyumbani, halafu anakuja JF anajirahisi rahisi kwa mtu mwingine kama huyu mke wa mtu anavyojirahisi kwako ungejisikiaje?

Nadhani una jambo linakusumbua dude..
How do you come out with this bang???
Unataka kusema she is a mere foolish woman (if she is) who cannot stand on her own feet??
By the way who are you to insinuate somebody facts with all these anonymity stances??
 
Watch your thoughts:
they become words.

Watch your words:
they become actions.

Watch your actions:
they become habits.

Watch your habits:
they become your character.

Watch your character:
it becomes your destiny.

Moral of the story: words matter.
 
Back
Top Bottom