SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,052
- 2,842
Mie nakwenda kwa jinsi habari ilivyoletwa hapa.
Na hapana, mie si wa kutafuta low hanging fruit kwa sababu naamini uwezo wangu, hizo nawaachia nyie.
Tatizo mkivunja principle ya kuheshimu ndoa za watu - hata kama in a fictitious thread, kuna watu wana draw inspirations hapa na wengine wana define JF kwa conduct ya thread- mnatuaibisha.
Halafu kesho mtakumbatia label ya "Great Thinkers".
Kwa kazi gani? Ya kukumbatia ubaradhuli?
You dont have any fact man..
What you are doing is a mere guessing..
Umekomalia kitu usichokijua nikikuambia unambie naona unalialia tu..
Haya bwana..i am off