Story za mtaani kuhusu umafia wa madalali

Hapo atakuwa alikulaani sana moyoni
 
Watu wengi wanachulia vitu simple sana ila huku uraiani kuna utaratibu wa kuishi yaani haki yako inaweza kukuletea shida kama tu utaenda nje ya makubaliano hizi mambo za kimafia siyo tu zipo kweny udalali bali ni sehemu zote tu, kitendo cha wewe kuleta ujuaji tu lazima upotee hata kama mali ni yako na wengi tamaa ndo huwa zinawaponza
 
nikikwambia nauza milioni mia...akaja wa milioni 400....lazima tukae chini tuzungumze upyaaaa...haiwezekani KABISA.....ikishindikana siuzi....mali ni yangu......nishawazingua sana.....tusitishane hapa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…