Kijiweni huwezi kosa stori za wanawake utaskia nilipata demu flani mtamu kama nguruka, baadae nikawa na demu wa kihaya kutoka hapo nikapata mtoto wa kipogoro, baadae nikapata mtoto wa kiruguru mtoto mtu pi fupi ana difu moja matata sana ya kufunga teriaz, baadae nikapa mtoto wa kirangi, mweupeeee, ila ndo sprinta ilikuwa hamna, kisha Manka wa kichaga huyu sikukaa nae sana tukabwagana alikuwa akinisachi usiku, nikapata toto la kitanga Hilo baba usio be lina mambo ya hatari...lakini ha semi kwanini alishindwa kudumu ktk mahusiano yota hayo, ni kwamba yeye ndiye mwenye kasoro