Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,426
Niko pouwa kbs sijui weweJoy upo poa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko pouwa kbs sijui weweJoy upo poa ?
OkyMim mzima wa afya
Hofu kwako
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]UNAJUAAAA SAAANAAAA..!Hahaha kwanini lakini?
Hahaha sawa usjal[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]UNAJUAAAA SAAANAAAA..!
Ah aha ha ha aha hHizo story noma sana, nakumbuka kuna Jamaa mmoja alisema kua Fidel Castro aliwahi kutoroka Gerezani Guantanamo bay akapiga mbizi kwa mda wa siku tatu yuko majini tu anabiga mbizi mpaka alipofikia Nchi kavu..aseee hua siisahau hyo
Hakuna Shida MkuuNiongezee kahawa na kashata moja!
Njoo Tuish Huku Kibit Raha Sana HukuNilikuwa nataka kujenga nyumba ya mungu kijijini kwetu,
Nikaomba ushauri Wa kijiweni ,wakaniambia niache haraka sana huo mpango sababu , nitarogwa na wanakijiji .Story za vijiweni bwana!
Niaminishe kama wewe sio kiongozi Wa kijijj ili tuishi huko mahala salama[emoji125] [emoji125] [emoji125]Njoo Tuish Huku Kibit Raha Sana Huku