kuna mzee mmoja hapa kasomeshwa namba ananiambia kwa hali hii, amemtafutia mtoto wake kitambaa cha kepteni wa mpira wa miguu na kumkabidhi ukepteni wa familia yeye kanyoosha mikono.
anamwambia dogo misheni ya kwanza akitoka amtafutie nyumba uswizi huko amalize safari yake ya maisha kwa raha.