Story Za Vijiwen Special Thread

Story Za Vijiwen Special Thread

Acha nipite tu maana me ninazojua story za vibarazani tu.
 
lisemwalo kama halipo basi lipo njiani linakujaaaa
 
kuna mzee mmoja hapa kasomeshwa namba ananiambia kwa hali hii, amemtafutia mtoto wake kitambaa cha kepteni wa mpira wa miguu na kumkabidhi ukepteni wa familia yeye kanyoosha mikono.

anamwambia dogo misheni ya kwanza akitoka amtafutie nyumba uswizi huko amalize safari yake ya maisha kwa raha.
 
Back
Top Bottom