Straika anaekabwa na watu 5

Straika anaekabwa na watu 5

Kama ni kweli huyo striker wa kukabwa na watu 5. Angekuwa anachezea Chelsea ya England
 
Aveva na kaburu warudisha rumande mpaka July poleni wana simba.
 
Mpira wa bongo wendawazimu mtupu...
Sampuli za akina Mbaraka Yusuph ziko nyingi ila tunaendekeza upuuzi wa kusajili 'majina' toka nje
 
Ajibu.Ngoma.Tambwe.Chirwa.Msuva.Kamusoko..Yanga watafunga Magoli 100 msimu wa 2017/2018
 
Viongozi wa Simba wanawajua mashabiki wao, magazeti mwanzo wa msimu...visingizio mwisho wa msimu.
 
Magazeti ndio yanayo haribu Mpira wa Bongo, Mimi huwa sisomi magazeti ya michezo. Yaani bora ununue ya uwazi, Sani unajua tu unazugwa. In bora yangejikita kuchambua wachezaji ili mashabiki wawe wanajua ukweli na timu zenyewe zijue zinasajili watu wa aina gani
 
Back
Top Bottom