Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Tunakumbuka kibwana alivyolambishwa mchanga kwenye fainali ya shirikishoWatu mmeulizwa Vizuri tu Mnamfananisha na nani?
Badala ya kujibu nyie mmekazana kuwasakama mabeki wa Yanga..! Job na Kibwana, nyie viipi?
beki kama aina ya inonga zitapata shida sanaUnaambiwa jamaa ni Didier Drogba mtupu, hakabiki wala hazuiliki. Ndiyo, ni straika mpya wa Azam Fc aitwaye Alassane Diao ambaye ni kipande cha mtu. Mabeki wa NBC PL hasa type ya akina Dickson Job watateseka sana.
Ukimuangalia unamfananisha straika Diao na wajihi wa mchezaji gani?
View attachment 2680193
Sio saprongYikpe mtupu.