Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,135
- 1,826
Mpira so mwili tu akili pia, Kuna Jamaa anaitwa Bernado Silver pale Ethad mwili robo lkn anajua balaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤔🤔🤔Hawa Azam mbona kama wanaanza kuwakuwa serious hivi?
Hata Mimi nimeona leoJitu Mwitu Msitu.
Hapo Dickson Job anapewa Konga tu chalii
Kaingia uwanjani kagusa Mpira mara moja tuu kudadadadeki zakeWatu mmeulizwa Vizuri tu Mnamfananisha na nani?
Badala ya kujibu nyie mmekazana kuwasakama mabeki wa Yanga..! Job na Kibwana, nyie viipi?
Baada ya dakika 30 za mchezo nilijua Azam hawana timu ya kumfunga Yanga na kwa jinsi nilivyouona mchezo nilijua Aziz Ki akiingia wamekwisha
HahahahahahaKaingia uwanjani kagusa Mpira mara moja tuu kudadadadeki zake
Dejan mweusi huyoHuyo ni lukaku mtupu [emoji28]
AhhahDejan mweusi huyo
HahahahaHuyo ni lukaku mtupu [emoji28]