Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mshambuliaji raia wa Uganda, Bayo Aziz Fahad ambaye Mwananchi iliripoti tetesi zake za kusajiliwa na Klabu ya Yanga, hatimaye ameonekana katika mazoezi ya timu hiyo iliyoyafanya jana Avic Town jijini Dar es Salaam.
Endapo atasajiliwa, itakuwa ni miongoni mwa mikakati ya Yanga kuimarisha safu yake ya ushambuliaji katika dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa Desemba 15 mwaka huu na kufungwa Januari 15, 2025.
Endapo atasajiliwa, itakuwa ni miongoni mwa mikakati ya Yanga kuimarisha safu yake ya ushambuliaji katika dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa Desemba 15 mwaka huu na kufungwa Januari 15, 2025.