Tetesi: Straika mpya Yanga aibukia mazoezini, muda wowote mambo hadharani

Huyo jamaa ni Striker katili sana na takwimu zake zinatisha

Akiwa kwenye timu yake ya mwisho ya MFK Vyosk alifanikiwa kucheza mechi 42 na kufunga lundo la mabao manne na assist 1.
Hivi kumbe mabao nane ni lundo?? What a strange???
 
Screenshot_20241123-072423.png
Huyo jamaa ni Striker katili sana na takwimu zake zinatisha

Akiwa kwenye timu yake ya mwisho ya MFK Vyosk alifanikiwa kucheza mechi 42 na kufunga lundo la mabao manne na assist 1.
Match played vs goals scored
Screenshot_20241123-072423.png
 
Mshambuliaji raia wa Uganda, Bayo Aziz Fahad ambaye Mwananchi iliripoti tetesi zake za kusajiliwa na Klabu ya Yanga, hatimaye ameonekana katika mazoezi ya timu hiyo iliyoyafanya jana Avic Town jijini Dar es Salaam.

Endapo atasajiliwa, itakuwa ni miongoni mwa mikakati ya Yanga kuimarisha safu yake ya ushambuliaji katika dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa Desemba 15 mwaka huu na kufungwa Januari 15, 2025.
Hersi ameona apoze moto wa tabora united na azam!
 
Huyo jamaa ni Striker katili sana na takwimu zake zinatisha

Akiwa kwenye timu yake ya mwisho ya MFK Vyosk alifanikiwa kucheza mechi 42 na kufunga lundo la mabao manne na assist 1.
Kijili alitoka KMC na mabao mangapi?
Anawatupia makolo
 
Huyo jamaa ni Striker katili sana na takwimu zake zinatisha

Akiwa kwenye timu yake ya mwisho ya MFK Vyosk alifanikiwa kucheza mechi 42 na kufunga lundo la mabao manne na assist 1.
😀😀😀😀😀
 
Ili fahadi asajiliwe lazima Pro mmoja atolewe ili ampishe,!!!!!! dube atatusamehe,,,,hajadeliver tulichotarajia,,,, Naamini baleke akipewa some minutes ana kitu ,,,,hata asipokuwa regula stater ni sawa tu ,,, ! Mzinze ikija ofa nzuri wapokee, atatafute malisho pengine ,,,, ! Kwa alipofikia sioni uwezo wake ukiongezeka !
Ndo kashakua garasa huyo mzize sasa..
 
Huyo jamaa ni Striker katili sana na takwimu zake zinatisha

Akiwa kwenye timu yake ya mwisho ya MFK Vyosk alifanikiwa kucheza mechi 42 na kufunga lundo la mabao manne na assist 1.
Hicho ni kitita cha mabao
 
Back
Top Bottom