Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Huyo jamaa ni Striker katili sana na takwimu zake zinatishaFahad Bayo ni Mwananchi
Lundo la mabao manne na assist 1😂😂😂Huyo jamaa ni Striker katili sana na takwimu zake zinatisha
Akiwa kwenye timu yake ya mwisho ya MFK Vyosk alifanikiwa kucheza mechi 42 na kufunga lundo la mabao manne na assist 1.
Hao jamaa wakipata shida Yanga wanapoteana, mbadala wa hao jamaa usajiliweIla mi niliona backline ndio inamapungufu pale Job na Bacca wanapokuwa na shida
😂😂😂Nimejua kucheka , weka mbali na watotoHuyo jamaa ni Striker katili sana na takwimu zake zinatisha
Akiwa kwenye timu yake ya mwisho ya MFK Vyosk alifanikiwa kucheza mechi 42 na kufunga lundo la mabao manne na assist 1.
Mara hii Dube mnamuonesha njia atoke?Fukuza dube,,,,, uza mzize,,,,, bakisha baleke, peana mkataba na fahad
Ili fahadi asajiliwe lazima Pro mmoja atolewe ili ampishe,!!!!!! dube atatusamehe,,,,hajadeliver tulichotarajia,,,, Naamini baleke akipewa some minutes ana kitu ,,,,hata asipokuwa regula stater ni sawa tu ,,, ! Mzinze ikija ofa nzuri wapokee, atatafute malisho pengine ,,,, ! Kwa alipofikia sioni uwezo wake ukiongezeka !Mara hii Dube mnamuonesha njia atoke?
Mzize si mlikataa kumuuza?
Mmemaliza kulipa madeni?!Mshambuliaji raia wa Uganda, Bayo Aziz Fahad ambaye Mwananchi iliripoti tetesi zake za kusajiliwa na Klabu ya Yanga, hatimaye ameonekana katika mazoezi ya timu hiyo iliyoyafanya jana Avic Town jijini Dar es Salaam.
Endapo atasajiliwa, itakuwa ni miongoni mwa mikakati ya Yanga kuimarisha safu yake ya ushambuliaji katika dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa Desemba 15 mwaka huu na kufungwa Januari 15, 2025.