The branding
Senior Member
- Apr 17, 2022
- 186
- 320
Hivi kumbe mabao nane ni lundo?? What a strange???Huyo jamaa ni Striker katili sana na takwimu zake zinatisha
Akiwa kwenye timu yake ya mwisho ya MFK Vyosk alifanikiwa kucheza mechi 42 na kufunga lundo la mabao manne na assist 1.
ni Kweli; ninaposkia Bacca hachezi basi huwa ninapatwa na ugonjwa wa moyo kwa muda kabla sijapuliziwa ubani.Ila mi niliona backline ndio inamapungufu pale Job na Bacca wanapokuwa na shida
Match played vs goals scoredHuyo jamaa ni Striker katili sana na takwimu zake zinatisha
Akiwa kwenye timu yake ya mwisho ya MFK Vyosk alifanikiwa kucheza mechi 42 na kufunga lundo la mabao manne na assist 1.
Hersi ameona apoze moto wa tabora united na azam!Mshambuliaji raia wa Uganda, Bayo Aziz Fahad ambaye Mwananchi iliripoti tetesi zake za kusajiliwa na Klabu ya Yanga, hatimaye ameonekana katika mazoezi ya timu hiyo iliyoyafanya jana Avic Town jijini Dar es Salaam.
Endapo atasajiliwa, itakuwa ni miongoni mwa mikakati ya Yanga kuimarisha safu yake ya ushambuliaji katika dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa Desemba 15 mwaka huu na kufungwa Januari 15, 2025.
Kijili alitoka KMC na mabao mangapi?Huyo jamaa ni Striker katili sana na takwimu zake zinatisha
Akiwa kwenye timu yake ya mwisho ya MFK Vyosk alifanikiwa kucheza mechi 42 na kufunga lundo la mabao manne na assist 1.
πππππHuyo jamaa ni Striker katili sana na takwimu zake zinatisha
Akiwa kwenye timu yake ya mwisho ya MFK Vyosk alifanikiwa kucheza mechi 42 na kufunga lundo la mabao manne na assist 1.
Ndo kashakua garasa huyo mzize sasa..Ili fahadi asajiliwe lazima Pro mmoja atolewe ili ampishe,!!!!!! dube atatusamehe,,,,hajadeliver tulichotarajia,,,, Naamini baleke akipewa some minutes ana kitu ,,,,hata asipokuwa regula stater ni sawa tu ,,, ! Mzinze ikija ofa nzuri wapokee, atatafute malisho pengine ,,,, ! Kwa alipofikia sioni uwezo wake ukiongezeka !
Hicho ni kitita cha mabaoHuyo jamaa ni Striker katili sana na takwimu zake zinatisha
Akiwa kwenye timu yake ya mwisho ya MFK Vyosk alifanikiwa kucheza mechi 42 na kufunga lundo la mabao manne na assist 1.