Strategic betting on imperfect information

Strategic betting on imperfect information

Kasanjo

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
60
Reaction score
28
Juzi jumamosi nliangalia kikosi cha yanga kilichoenda algeria...nkaona ni kikos dhaifu sana...nkaskiza na news (sports xtra)...nkasikza na maneno ya kocha wa yanga akisema wanaenda kutafta droo kwa kujilinda...nkafatilia form ya algiers nkaona algiers ni mtam sana akiwa hom so nkatia 500k na ushee algiers apate goli zaidi ya mbili ilikua na odd ya kama 2.6 nkalala...jpili saa nane nachek odds za mechi naona algiers kushinda ana 1.04 wakati jmos alikua ana 1.28...na apate goli mbili na zaidi ina odd ya 1.6..so nkajua wameshtuka kua walioverprice odds zao...mda wa mechi ilivofika 2-0 nkacover kwa laki kwamba algiers asfunge tena ilikua na 5.8...ili ata mechi ikiisha 2-0 am still safe nmecover losses...but mechi ikaisha 4 so nna profit ya kilo 8 ukitoa kilo ya kucover losses nna profit ya lak7.....
Screenshot_2018-05-07-11-55-06.jpg
 
Hatari hii
 

Attachments

  • Screenshot_20180507-071520.png
    Screenshot_20180507-071520.png
    27.8 KB · Views: 27
Kwa uwekezaji huu wewe hakika ni mkamaria mzoefu..kwanza huo mzigo ulioweka kizunguzungu..lakini ndio kanuni..tia mzigo mkubwa punguza timu..
 
Ila izi opportunities hutokea mara chache sana
 
Back
Top Bottom