Mambo zenu wadau
Nlikua naomba msaada wa kuniguide namna ya kusoma, jee ni topic gani muhimu zaidi ktk masomo ya pcb???
Maana sina dira wala muelekeo + hizi shule zetu za serikali
Shule hainikatishi tamaa bt masomo ndo yananikatisha tamaa
Sina mpango wa kudrop comby
Hapa naona nyota tuu
Mchango wenu utakua appreciated