Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utacheka hadi jua litoke kusini kwenda kaskazini hakuna kitu kama hicho, hihihihi ila mbavu zinaumaWanasemaga eti ukimcheka Mtu unakua Kama yeye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*Bakhresa Hahaha Bakhresa* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Utacheka hadi jua litoke kusini kwenda kaskazini hakuna kitu kama hicho, hihihihi ila mbavu zinauma
Jamaa kavurugwa hatari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ACHA MASWALI YASIYO YA MSINGI
Jamaa mmoja kwa kupenda vya kunyonga siku moja aliingia choo cha stendi bila kupenda. Tabia yake ya kuuliza maswali yasiyo na msingi ilimtokea puani na kumwacha mdogo kama kanyeshewa mvua ya mawe.
John: Cuzo, nasikia siku hizi unafanya kazi bakery.
Cuzo: Ndiyo, nafanya job kwa bakery bana.
John: Mbona hujawahi niletea mkate hata mmoja bana?
Cuzo: Dada yako yule anafanya kazi airport amewahi kuja na ndege kwa nyumba? Ehee! Wewe mwenyewe wafanya kazi mortuary, ushawahi kuja na maiti? Tafadhari usinikasirishe, sijalipwa mshahara mwezi wa tatu huu![emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaJamaa kavurugwa hatari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utaua watu mkuu, nimecheka saaana hadi mbavu zinauma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jana nilikula bakuli 4 za maharage.Demu wangu akanipigia kunialika chakula cha jioni home kwao.Nilipofika akanikumbatia kwa bashasha vile hakuamini kama ningeenda,akasema"bby nina suprise kwako,fumba macho"nikafumba.Akanifunga kitambaa usoni kisha akaniongoza hadi kwenye kiti changu mezani.Kabla hajanifungua kitambaa cm yake ikaita chumbani,akaomba aende kupokea ila akanisisitiza nisifungue kitambaa,akaenda..Yale maharage nilokula yakaanza kunikoroga tumbo,likajaa gesi.Nikajibinua kwa kushoto nikapunguza gesi kidogo.Harufu ilikuwa mbaya nikatoa leso mfukoni nikapungapunga hewa kupunguza harufu,masikio yakiwa makini kusikiliza maongezi ya cm chumbani.Nikajibinua upande wa pili nikaachia makombora km matatu ya kimyakimya.Harufu ilikuwa mbaya zaidi ya kabej na maharage yalochacha!nikachukua leso nikapukutapukuta hewa.Mara cm ikakata huko chumbani,akaja,akaniulza"bby hujatoa kitambaa kwel?"kwa uso usio na hatia nikamjibu"hapana bby",akanifungua.Ghafla wageni 12 akiwemo baba na mamaake wameketi huku wameziba pua!!
Asante kwa ripoti, siku nyingine usinywe maji mengi na ujizuie kuota ota.mweee mwee mweeeee.
Ukitaka kujua usiku ulivyo mrefu, jikojolee ugenini
[emoji1][emoji28]Ntamjimbu naitwa stickvibrationWAKUU NAOMBENI USHAURI WENU
Hivi Mtu Akikuuliza
JINA LAKO KWA KIZUNGU UNAITWAJE?
Utamjibu nini[emoji1549]
Hahaha huyo baba kazidiMwanamke Mjamzito alimwambia mmewe
Mme wangu nahisi mtoto amesimama tumboni.
Mme-Meza kigoda akikalie[emoji3]
Huyo kweli hamnazo[emoji23][emoji38]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]*BANGI SIO CHAI*
Jamaa mmoja kaenda kuchota maji bombani akakuta akina mama wamejazana akawaza njia yakuwadanganya ili achote maji haraka; akawaambia nyie akina mama kuna watu wanagawa nyama barabarani ng'ombe kagongwa na gari. Wale akina mama wote wakimbilia huko kupata mgao wa nyama. Jamaa naye akafikiria kisha akaanza kuwafuata eti: haiwezekani wote wale wakimbilie huko inaweza ikawa kweli,nisije kosa nyama bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1]*BANGI SIO CHAI*
Jamaa mmoja kaenda kuchota maji bombani akakuta akina mama wamejazana akawaza njia yakuwadanganya ili achote maji haraka; akawaambia nyie akina mama kuna watu wanagawa nyama barabarani ng'ombe kagongwa na gari. Wale akina mama wote wakimbilia huko kupata mgao wa nyama. Jamaa naye akafikiria kisha akaanza kuwafuata eti: haiwezekani wote wale wakimbilie huko inaweza ikawa kweli,nisije kosa nyama bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji3]Nimeona jini kwenye bongo movie linavuka barabara baada ya kuangalia kushoto na kulia.Kumbe majini nayo yanaogopa magari?