STRESS FREE: Vichekesho on fleak! Weka na cha kwako hapa tufurahi

Wanasemaga eti ukimcheka Mtu unakua Kama yeye

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*Bakhresa Hahaha Bakhresa* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Utacheka hadi jua litoke kusini kwenda kaskazini hakuna kitu kama hicho, hihihihi ila mbavu zinauma
 
Jamaa kavurugwa hatari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Utaua watu mkuu, nimecheka saaana hadi mbavu zinauma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
WAKUU NAOMBENI USHAURI WENU
Hivi Mtu Akikuuliza
JINA LAKO KWA KIZUNGU UNAITWAJE?
Utamjibu nini[emoji1549]
 
*BANGI SIO CHAI*
Jamaa mmoja kaenda kuchota maji bombani akakuta akina mama wamejazana akawaza njia yakuwadanganya ili achote maji haraka; akawaambia nyie akina mama kuna watu wanagawa nyama barabarani ng'ombe kagongwa na gari. Wale akina mama wote wakimbilia huko kupata mgao wa nyama. Jamaa naye akafikiria kisha akaanza kuwafuata eti: haiwezekani wote wale wakimbilie huko inaweza ikawa kweli,nisije kosa nyama bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeona jini kwenye bongo movie linavuka barabara baada ya kuangalia kushoto na kulia.Kumbe majini nayo yanaogopa magari?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji1] [emoji1]
 
Mtoto kaingia chumbani kwa mama yake ghafla vaaap.
Mama: we Mtoto pumbav sana.... kwa nini unaingia chumbani kwangu bila kupiga hodi??
Mtoto : kwani tatizo nini mama???
Mama : je ukinikuta niko UCHI?
Mtoto: siwez kukukuta uko uchi.
Mama : kwa nini isiwezekane na wakati unajua hapa ni chumbani???
Mtoto: kabla sijaingia huwa nachungulia kwanza kwenye kitobo Cha ufunguo. Nikikukutaga uko uchi huwa siingii.[emoji13][emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…