STRESS FREE: Vichekesho on fleak! Weka na cha kwako hapa tufurahi

STRESS FREE: Vichekesho on fleak! Weka na cha kwako hapa tufurahi

[emoji3]
 
Attachments

  • IMG-20170524-WA0003.jpg
    IMG-20170524-WA0003.jpg
    39.5 KB · Views: 154
Baba Mmoja Bahili Sana Alirudi Nyumbani Akaanza Kuwapiga Bakora Watoto Wake,

Watoto: Baba Mbona Unatuchapa Tumefanyaje?

Baba: Nyie Mna Matumizi Mabovu Sana Haiwezekani Mko Watatu Halafu Mnafungulia Feni Namba 4.[emoji125][emoji124][emoji125][emoji124][emoji125][emoji124]
 
*ET ALIYEWAHI KULA JEURI YAKE ANIAMBIE LADHA IKOJE NA MIMI NILE KWASABABU NASIKIA TU WATU WAKIAMBIWA UTAKULA JEURI YAKO*
[emoji28]
*Wahenga agizeni coca baridii nitalipa bill*
[emoji23]
 
KIAMA NI NINI??
*Kiama ni pale unapomchukua mke wa mtu ukaenda nae guest halafu ukakuta mumewe ndiye anaebadilisha mashuka*
*HAPO NDIO UTAJUA KWANINI TBC HAWAONESHI MICHEZO YA KIHINDI*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
WARNING [emoji615] [emoji615] ‼‼‼‼‼‼

Please, don't eat anything at these places
1.McDonalds
2.Kababjees
3. KFC
4. Domino's
5. Pizza Hut
*without me*[emoji23]
 
Mke wako anarudi nyumbani kasuka nywele za 30,000 na hujampa hata mia,we unakalia kusema waooo waoooo kama king'ora cha ambulance.
Shauri yako we endelea kusema waoooo waooo na atakuwa wao kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa alikuwa na mkewe wakitalii mbuga za wanyama, ghafla wakamuona swala (gazelle) akikimbizwa na duma (cheetah).
Basi mke akamuambia mumewe "tupinge akikamatwa swala nasoma msg zako za WhatsApp, na asipo kamatwa milele sintasoma"! Angalia kilichotokea hapo![emoji23][emoji23]
 
Mchungaji: Pepo toka

Pepo akajibu: stoki

Mchungaji: Toka kwa jina la Yesu

Pepo: Stoki

Mchungaji: Nimesema toka kwa jina la Yesu

Pepo: Nimetumwa nije nikae kwa mtu huyu ili kesho aokote milioni 100.

Mchungaji kusikia hivyo akasema "Nimesema
toka uniingie mimi"
waumini:Aaaa.
CHEZEA PESA WEYE.[emoji2][emoji2][emoji2]‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂
 
Kilitokea nn[emoji28]
 
Lol[emoji23][emoji23][emoji23]kazidii
 
Mtoto: Baba mie naenda kulala

BABA: Kunywa kabisa maji hyo tabia yako ya kuita mtu akuletee maji ya kunywa chumbani sitaki kuisikia

MTOTO : Baba mie sina kiu leo

BABA: We haya ila Leo ntakukomesha tabia yako!

******Baada ya dakika kadhaa*****
MTOTO; Anaita Babaaa babaaa we babaaa

BABA: nn wewe na makelele yako?

MTOTO: Niletee maji ya kunywa

BABA: Nilikuambiaje? Si ulijifanya husikii kiu sasa nikija huko nakuja kukuchapa

MTOTO: Ukija kunichapa uje na maji ya kunywa!
 
[emoji23][emoji28]watoto wa mwendo kasi
 
Mke wako anarudi nyumbani kasuka nywele za 30,000 na hujampa hata mia,we unakalia kusema waooo waoooo kama king'ora cha ambulance.
Shauri yako we endelea kusema waoooo waooo na atakuwa wao kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nkirud na kadet mpya mbna haniulizi
 
Back
Top Bottom