STRESS FREE: Vichekesho on fleak! Weka na cha kwako hapa tufurahi

[emoji28][emoji28][emoji28] na kweli
 
*ukitaka swaumu ikupate jitie ujanja wa kunya asubuhi ndo utaelewa umuhimu wa mavi tumboni kipindi cha swaumu*

Bangi siachi mimi
 
*ETI UKIPAKA WINO KWENYE JINO,JINO LIKIWA LA BLUE NDIO LINAITWA BLUETOOTH*

*Kingereza hapa ndio mahali pake*[emoji12][emoji12]
 
*Kuna Mkaka anazunguka Mtaani anatafuta watu 17 wa kuangalia nae movie... Sababu iyo movie imeandikwa 18 and above...* [emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ```English sio Kizaramo nae hapendagi ujingaa```
 
Hahahaha!! Kwel vitu vingine sio vyakukulupukia....
 
Hii hata haichekeshi wala kufurahisha maana hukujua unachokiandika...unapozungumzia swaumu unagusa IMANI ya watu zaidi ya milioni 20 so jicheki na kauli zako

Huu mwandiko tu unaonesha wazi kabxaa wewe ni
KHAMSA SALAWAT SITA DHULUMAT[emoji1321]
 
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeona jini kwenye bongo movie linavuka barabara baada ya kuangalia kushoto na kulia.Kumbe majini nayo yanaogopa magari?
 
*Maumivu ya mapenzi hayaumi kama maumivu ya kwako kuwe hakuna umeme alafu jirani yako awe nao*



[emoji3]
 
Duh kari
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Shit
 
Hahahaha watakuja na walelee
 
Yani nimecheka sana duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…