STRESS FREE: Vichekesho on fleak! Weka na cha kwako hapa tufurahi

Kulikuwa na semina ya wanawake kuhusu namna ya kuishi kwa upendo katika ndoa.

Mwalimu aliwauliza ni wangapi wanawapenda waume zao? Wote wakanyoosha mikono kama ishara ya kuwa wanawapenda waume zao.

Mwalimu akauliza tena, “Ni lini mara ya mwisho umemwambia mumeo “Nakupenda”?

Majibu yalikuwa kama ifuatavyo:

Wengine wakisema Asubuhi ya leo,Wengine jana,Wengine wiki iliyopitaWengine mwezi uliopitaNa wengine wakasema hawakumbuki!

Mwalimu aliwapa kazi kila mwanasemina achukue simu yake na kumtumia mume wake meseji yenye neno “NAKUPENDA MPENZI”

Baada ya meseji kwenda aliwaamuru kubadilishana simu kila mtu na jirani yake.

Kila mwanasemina aliambiwa kusoma meseji za majibu kwenye simu aliyoshika

Katika majibu hayo, meseji za vichekesho zilikuwa ni nyingi na kweli vichekesho vya ndoa ni nyingi kama ilivyosomwa katika hizo meseji, fuatilia hapa zaidi.

Simu ya 1 – “Samahani, nani mwenzangu”!

Simu ya 2 – “wrong number”!

Simu ya 3 – “samahani, umekosea namba”!

Simu ya 4 – “Si nimekuambia usinitumie messages kwenye namba hii”!

Simu ya 5 – “Mh! leo mvua itanyesha”!

Simu ya 6 – “Nikija tutaongea zaidi”!

Simu ya 7 – “……Imedhibitishwa umepokea Tsh300,000 kutoka kwa ……”!

Simu ya 8 – “Me too”!
Simu ya 9 – “Huu ujumbe ndio ulikuwa unamtumia huyo hawara yako ee, leo utanikoma”!

[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
mi ndio nlikuwa huyo jamaa namba 9
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
hapo kwa boss anapo kaa Baker , ni brothel au nyumba ya kuish tu? [emoji28]
 
hiyo nyumba haina tofaut na ambiance [emoji28], baba na housgirl mama na boyfriend, wanakunywa ma wayne, ukiwa ndani huskii

inakila haja ya kuitwa night club, ningekuwa huyo baba anachinjwa mtu hapo
Hahahahaha[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uchinje tena jamani wakat haki sawa apo[emoji28][emoji13]
 
[emoji13][emoji13]Utakua unaonea sasa apo,ww je uchukuliwe hatua gani[emoji23][emoji3][emoji3]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
ulisha wahi ona wap baba anakosea!!?
sawa sawa na enzi zetu hom, mama alikuwa ukivunja vyombo vyake ana mind kishenz ila sku akivunja yeye anajifanya kama hajaona hivi!!
mkubwa hakosei![emoji28]
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
ulisha wahi ona wap baba anakosea!!?
sawa sawa na enzi zetu hom, mama alikuwa ukivunja vyombo vyake ana mind kishenz ila sku akivunja yeye anajifanya kama hajaona hivi!!
mkuvwa hakosei![emoji28]
[emoji47][emoji47]
 
Kule Marekani mume anapoenda kulala anamwambia mke wake “goodnight baby”

Kule Uingereza mume anapoenda kulala humtakia mke wake usiku mwema kwa kusema “sweet dreams honey”

Kule Australia mume anapoenda kulala humtakia mke wake usiku mwema kwa kusema “goodnight my love”

Huku kwetu Tanzania mume anapoenda kulala humuuliza mke wake “umefunga milango yote na madirisha vizuri?”[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanamke aliingia kwnye teksi akitaka huduma akiwa uchi kama alivyozaliwa!

Dereva akawa anamshangaa,

Mwanamke: hujawahi kuona uchi au!

Dereva: Ninachoshangaa si uchi wako,najiuliza pesa ya kunilipa utakuwa umeiweka wapi?[emoji28][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…