STRESS FREE: Vichekesho on fleak! Weka na cha kwako hapa tufurahi

STRESS FREE: Vichekesho on fleak! Weka na cha kwako hapa tufurahi

Leo nimeenda kuchangia damu hospitalini,mara wananambia soda na biskuti zimeisha..!<br />Sa hii nipo zangu njiani na damu yangu kwenye blood bag naelekea nyumbani. Bora niwapelekee mbu take away..<br /> [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]<br /><br />wala sijawahi vutaga bangi Mimi
 
Back
Top Bottom