Stress Free Zone

Stress Free Zone

Kuzipika hazina ugumu waweza zichemsha na maji kidogo na mafuta na chumvi ukazipika kama wali au waweza zichemsha na maji mengi zikiisha kuiva unamwaga maji then unazikaanga na mafuta kidogo japo ya kumwaga maji huwa naona kama virutubisho vinapotea sasa hapo utaangalia wataka kula na kitu gani kama ni roast beef, au nyama ya kusaga uunge vzr umwagie mchanganyiko wako kwenye tambi hiyo ni juu yako mpenzi.
Wow ntapika
 
Huwa napenda na nyama za kusaga.

Au unazichemsha kidogo then unakaanga nyama na viungo(vitunguu,hoho,,karoti nk) then unamimina tambi unakaanga kidogo then waweka mayai unakaanga kama chipsi zege vile, mwanangu anapenda kweli kunywa na chai.
 
Back
Top Bottom