[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyumbani na muosha naniliu!!! [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kapumzika kama mke ameshapata jf afanye nini [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kaamua kupumzika sasa
Hahaaaa. Nitapika siku moja na mimi nijue ladha yake.Hiyo kitu ni tamu, utasikia "maimuu(akimaanisha mwalimu) npikie ile kitu!"
Najua tu ni hicho anataka.
Mie mwenyewe egg chop huwa nahisi ni ngumu sana kupika ujue sijawahi hata kufikiria kujaribuHongera kwa kuvijua kuvipika my dada. Mie egg chop najua za kununua tu ila sijawahi jaribu kuzipika.
Itabidi nije nijifunze siku moja.
Ila yupo poa anaona anabadilisha stts tu[emoji17] [emoji17] [emoji17] unanipa wasiwas
Tokea usku??
Hapo kwenye kugeuza ndipo palinisumbua sana kwakweli.Hahaaaa. Mie upande wa vitumbua nachukia ile geuza yake tu kwa sababu pale utulivu unahitajika.
Hongera sana dada.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hayupo kabisaaaa
Mi na wewe hatushindwani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenishinda tabia espy
Ipike tu mama, ni tamu.Hahaaaa. Nitapika siku moja na mimi nijue ladha yake.
Mzee mwenzangu habari!!Hayupo kabisaaaa
Hahaaa. Mie bado sipapatii picha pale ila nahitaji siku moja nijifunze pia kwa kweliHapo kwenye kugeuza ndipo palinisumbua sana kwakweli.