Mwalimu wangu alikuwa mzuri kweli, labda hakuwa muhenga lakini nilimpenda kweliWahenga hao, utakuwa hukuwa na Mwl mzuri wa Kiswahili, enzi zile darasa la 6C, Mabondeni Pri School!
Unaweza kunizidi kukuhamu kweli?Mwifwa miss you Sana swahiba
Bora umekuja ujibu, maana Nyagei naye kaniingiza mjiniUna uhakika swahibaaa[emoji23] [emoji23]
Napambana na hali yangu tu huku, hapa nimeingia kuchungulia bahati nzuri ndio hiii sasa.Nakuzidi sikuhizi unapotea Sana
Nissan nyeupe ndo tatizo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huku mjini hakuna mashamba bana, sasa tutalimajeMashamba yapo mvua ikinyesha tu yoteee yanajaa watu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hataki ujueMwambie asikubane sana akuachie nafasi kidogo jamaniiii
Labda uswazi huko, sisi wa huku wenye high class[emoji3] [emoji3] mambo hizo hakunaYapo hukutanagi na vile vibao vya pamejaa[emoji23] [emoji23]
Tena mvua ikinyesha ndo wanalimana sana
Sasa unanishauri veepee na hii haliHeheeeeee basi sawaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaaarrgggghhhj[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitamuuliza shunie