Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap...... natumbua mapene baada ya kazi nzito, karibu sana.Karibu sana mjini najua umejaa hapo
Nikuje na mie kutumbuaYap...... natumbua mapene baada ya kazi nzito, karibu sana.
TupooooooHivi mupooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu hawapend kabsa ukubwa doh[emoji144] [emoji134]Mnaotaka kuzeeka endeleeni,sisi wengine tunarudisha umri nyuma[emoji23][emoji23]
Msanii wa filamu Tanzania ambaye pia alishawahi kutwaa taji la mrembo wa Tanzania Wema Abraham Sepetu, amewacharukia na kuwajibu watu wanaoendelea kumsema vibaya kuhusu umri wake sahihi.
Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Wema Sepetu ambaye hivi karibuni amesherehekea siku ya kuzaliwa na kutimiza miaka 29, amesema kama wao ndio wamemzaa basi umri wanaotaja ndio sahihi.
“Hao wanaosema kama wao ndio wamenizaa sawa, lakini aliyenizaa mama yangu Bi Mariam Sepetu ndio anajua umri wangu sahihi, sasa wao wanalazimisha sijui nimezaliwa lini, hawajanizaa wao, walionizaa ni Mariam Sepetu na Dady Isaac Abraham Sepetu sio wao”, amesema Wema Sepetu.
Mmh mm au wewe cuzooUnaadimika sana cuzoo
Karibu sanaJaman wengne new comer humu tukarbishen bac
Itakuwa cuzoo acha tuItakuwa wote tunaadimika.
Me zaidi cuzoo [emoji8][emoji8][emoji8]Miss you
Huku ni poa tuHuku veeeepe
Nawapa hi tu mie
Habari za veve my loveHuku ni poa tu
C wazmaHuku veeeepe
Nawapa hi tu mie