Ahsante pia jirani.Sijambo Jirani.... Ni venye nakuhamu
Sijambo kabisaHujambo jirani
Samahani mgeni,Wengne hatusalimiwi
Unaonekana cio mkarimuSamahani mgeni,
Mimi huwa inachukua muda hadi kuzoeana na mgeni ndio maana sijawa mwepesi kukusabahi.
Karibu Bint mahair kipusa jisikie upo home!!
Asantee lknUnaonekana cio mkarimu
Samahani mgeni,
Mimi huwa inachukua muda hadi kuzoeana na mgeni ndio maana sijawa mwepesi kukusabahi.
Karibu Bint mahair kipusa jisikie upo home!!
TehZa shem nzuri sana sijui upande wako mana Dec ndio hii
Ukinizoea na mimi nikikuzoea basi litakuwa jibu tosha.Unaonekana cio mkarimu
Ni poa JiraniAhsante pia jirani.
Habari za siku nyingi
Za mimi poa sanaZa kwangu level kabisa, sijui za wewe!?
HayaSijambo kabisa
He he acha nibaki kimya Dec ya mnuso ya shereheTeh
Hiyo December veepeee
Mbona hatupeani updates za mapupu, kulikoni jamani!Za mimi poa sana
WoyooooooHe he acha nibaki kimya Dec ya mnuso ya sherehe
December jirani.....Ni poa Jirani
Vipi wewe
Karibu Siku kuuDecember jirani.....
Sijakutana nayo mie huku kwetu hakunaga mpaka itokee nikutane nayo mitaa ya watuMbona hatupeani updates za mapupu, kulikoni jamani!
Ndio veep sasaWoyoooooo
Mwenyej anatakiwa aoneshe ukarm ili mgen amzoeeUkinizoea na mimi nikikuzoea basi litakuwa jibu tosha.