Stress Free Zone

Nakumbuka kuna siku ulisema mbona me sijawahi pata pm ya mwanamke nyie mnaolalamika mnatongozwa pm na wanawake kuna thread moja mwanaume alikuwa analalamika anatongozwa sana pm na wanawake
Jamani.

Shunie ebu fanya mambo na mimi nipate PM.

Nimebadili avatar hali bado mbaya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…