Stress Free Zone

Stress Free Zone

Nakumbuka kuna siku ulisema mbona me sijawahi pata pm ya mwanamke nyie mnaolalamika mnatongozwa pm na wanawake kuna thread moja mwanaume alikuwa analalamika anatongozwa sana pm na wanawake
Jamani.

Shunie ebu fanya mambo na mimi nipate PM.

Nimebadili avatar hali bado mbaya tu.
 
Nimecheka kwa nguvu yan naonekana chizi mie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sakayo leo nadhani amepiga hii
bbe43e8956474d21a97266af1d8f6690.jpg
 
Back
Top Bottom