Babe akeeNawatakia asubuhi njema ndugu zangu
MkuuAaah
Jirani usijali
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] maka akee eti mimi naniiiShunie ake nakuona we ndio kiongozi, wa mwanzo kabisa kutajwa a.k.a kimbelembele front.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sakayo nae ndugu yangu si haba..
Ndioo shunie ake.. we umezidi ukinanii[emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] maka akee eti mimi naniii
Havumi lakini yumo[emoji12] [emoji12][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umeshindaje babeBabe akee
Nimezidi nikifanyaje tenaNdioo shunie ake.. we umezidi ukinanii[emoji23] [emoji23]
Ahahahhh huyo ndio mwenyekitiHavumi lakini yumo[emoji12] [emoji12]
Nimeshinda vizuri hofu kwako tuUmeshindaje babe
Mimi nashukuru niko poa kabisa, weekend tunamalizia wapi sasa.Nimeshinda vizuri hofu kwako tu
Pole sanaMaisha ya ajabu sana mtu anakuja kukopa anacheka siku yakulipa sura kaikunja kama anataka kuifunga kwenye gazeete
Tubadilike
He he yupo humu mkuu kwenye huu uzi haya jaman mlipe madeni ya watuMaisha ya ajabu sana mtu anakuja kukopa anacheka siku yakulipa sura kaikunja kama anataka kuifunga kwenye gazeete
Tubadilike
Nakusikiliza wewe ebu niambieMimi nashukuru nikk poa kabisa, weekend tunamalizia wapi sasa.
Nishatia girisi kitamboWatu wa stress free zone nadhani leo watakuwa na stress.
Watu wa stress free zone nadhani leo watakuwa na stress.
Kama mie
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji3] [emoji3] na Mwifwa
Mpake girisiMaisha ya ajabu sana mtu anakuja kukopa anacheka siku yakulipa sura kaikunja kama anataka kuifunga kwenye gazeete
Tubadilike
Karibu mpupuBabe akee
Muulize linamo sasa, yeye si ndio kakuwepa pale katika front page.. yaan wewe ndio T.O wa ukivuruge.Nimezidi nikifanyaje tena