Stress Free Zone

Anadhani nitashindwa ili anicheke[emoji23] [emoji23] [emoji23], nimemkaribisha kwenye uzi wangu wa Anatomy aulize maswali anayotaka naona analialia tu.
Nilikua nasoma huo uzi mwifwa yupo zamani alikua mkorofi huyu naona alimjibu mtu majibu unagoogle ahahhh kuna kipindi sijamzoea aliniquote ujinga mmu na mm nikmjibu ujinga tukakuta kwenye huo uzi akanikumbusha akaniambia shunie halaf me ndio nimeanza kukuchokoza
 
Unakumbuka sana wewe mwanamke , kweli alikuwa ananichokoza sana kwenye ule uzi wangu eti ananiambia nagoogle[emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…