Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Haya uliza swali lako hapa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi mtaalamu wa Anatomy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya uliza swali lako hapa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Babe wako aliingia kwa mbwembwe akaweka somo lake pale sasa kwa nini akatae kujibuUzi wa toka July unakuja kumsumbua wala sijaendelea kusoma
Hapa sio mahala pake bana, nenda kajibu lile nililokuuliza kuleHaya uliza swali lako hapa.
Mimi mtaalamu wa Anatomy
Kuna uzi wangu utafute uone nilivyoshusha vitu[emoji23] [emoji23]Babe wako aliingia kwa mbwembwe akaweka somo lake pale sasa kwa nini akatae kujibu
SijalionaHapa sio mahala pake bana, nenda kajibu lile nililokuuliza kule
Babe asikuchosheYani
Ungemuuliza siku hiyo hiyo mpaka mamiezi imepitaBabe wako aliingia kwa mbwembwe akaweka somo lake pale sasa kwa nini akatae kujibu
Anadhani nitashindwa ili anicheke[emoji23] [emoji23] [emoji23], nimemkaribisha kwenye uzi wangu wa Anatomy aulize maswali anayotaka naona analialia tu.Ungemuuliza siku hiyo hiyo mpaka mamiezi imepita
Nilikua nasoma huo uzi mwifwa yupo zamani alikua mkorofi huyu naona alimjibu mtu majibu unagoogle ahahhh kuna kipindi sijamzoea aliniquote ujinga mmu na mm nikmjibu ujinga tukakuta kwenye huo uzi akanikumbusha akaniambia shunie halaf me ndio nimeanza kukuchokozaAnadhani nitashindwa ili anicheke[emoji23] [emoji23] [emoji23], nimemkaribisha kwenye uzi wangu wa Anatomy aulize maswali anayotaka naona analialia tu.
Unakumbuka sana wewe mwanamke , kweli alikuwa ananichokoza sana kwenye ule uzi wangu eti ananiambia nagoogle[emoji23] [emoji23]Nilikua nasoma huo uzi mwifwa yupo zamani alikua mkorofi huyu naona alimjibu mtu majibu unagoogle ahahhh kuna kipindi sijamzoea aliniquote ujinga mmu na mm nikmjibu ujinga tukakuta kwenye huo uzi akanikumbusha akaniambia shunie halaf me ndio nimeanza kukuchokoza
Ila kumbuka vitanda vyao havikuzidi upana wa futi mbili...unajua kwa nini mkuu?Kweli ndio maana mababu zetu wameishi kwa staili ya kifo cha mende na mambo yameenda kama kawaida
Haaaah. Haaaah. Haaaah. Haaaah. Haaaah. Watu na Mahaba yao! Mi sijasema!Kwahiyo ni mm na young mana ndio unapotaka kuelekea
Wewe sio wa kushindwa kutoa mwelekeo wa pilauUchoyo na mambo ya kino vinahusiana vipiii
Yaani hii xmass ndio nimewajua wachoyo!Tangu useme umenitumia kadi nimesubiri weeeee holaaaa.
Sasa ujirani gani huo jirani!![emoji134] [emoji134] [emoji134]
Sasa si tunafukua makaburi jamaniUngemuuliza siku hiyo hiyo mpaka mamiezi imepita
Shunie mchukue babe wakoAnadhani nitashindwa ili anicheke[emoji23] [emoji23] [emoji23], nimemkaribisha kwenye uzi wangu wa Anatomy aulize maswali anayotaka naona analialia tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nilikua nasoma huo uzi mwifwa yupo zamani alikua mkorofi huyu naona alimjibu mtu majibu unagoogle ahahhh kuna kipindi sijamzoea aliniquote ujinga mmu na mm nikmjibu ujinga tukakuta kwenye huo uzi akanikumbusha akaniambia shunie halaf me ndio nimeanza kukuchokoza
Kwani uongo jamani, wakati Snell's Anatomy ipo Library huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unakumbuka sana wewe mwanamke , kweli alikuwa ananichokoza sana kwenye ule uzi wangu eti ananiambia nagoogle[emoji23] [emoji23]
Ndio maana ndoa zao hazikivunjika kizembe, wakikorofishana wakienda kulala kitanda kinakuwa msuluhishajiIla kumbuka vitanda vyao havikuzidi upana wa futi mbili...unajua kwa nini mkuu?
Kweli kabisaYaani hii xmass ndio nimewajua wachoyo!