Muache huyo atachubua ulimi bure na ubuyuAcha woga mbona vidume wako hapa
Mihangaiko lazima mkuu,sitaki watoto wangu wakaangalie TV kwa jirani wakati baba nipo.Salama tatizo una mambo mengi kama chumvi[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kwani kakwambia na yeye anataka kuzeeka[emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka tuizoee huyo ujue tulishaizoea ile halaf mbona umeweka ya mtoto
haaaaaa haaaaa haaaaa kwa hiyo nirudishe ile ya kikauzu ama?Hii avatar mpya tutakusahau ukija kule bhana[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yote afu akasema don't stop[emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mihangaiko lazima mkuu,sitaki watoto wangu wakaangalie TV kwa jirani wakati baba nipo.
Naona umeamua kuweka Avatar ya kuvutia warembo sasa.[emoji23] [emoji23] [emoji23]😀😀😀😀😀😀
Ujue mtu anakuvutia pic tokana na avatar yako ujueKwani kakwambia na yeye anataka kuzeeka[emoji23][emoji23][emoji23]
Uzee marufuku
Jizuie tu hivyohivyo uone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujue mi staki kucheka kabisaaaaa
Tafuta nyingine nzurinzurihaaaaaa haaaaa haaaaa kwa hiyo nirudishe ile ya kikauzu ama?
Mbona avatar hazina uhalisia sasa?Ujue mtu anakuvutia pic tokana na avatar yako ujue
Acha roho mbaya mwanamkeSitakiiiiii