Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
- Thread starter
- #601
Asante Sana mama Mchungaji[emoji524]Zaburi 126
5 Wapandao kwa machozi Watavuna kwa kelele za furaha.
6 Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.
Tuwe na usiku mwema na tulindwe na damu ya Yesu
Amen [emoji120] [emoji7]