Husemi kweli hapaHabari ndio hiyo nikikupenda nakupa tu ushindwe wewe
Mbona hujiamini bro[emoji23]Husemi kweli hapa
Wapm mods wakubadilishieTawapa taarifa na itakua mwisho wa matumizi ya ID "kibumbu"
Ahahha yaan wewe kuna uzi wako niliusoma kila kitu unaweka kumbu kumbu kuanzia calls text mpaka pic ahahhaSasa babe mimi pia waniogopa
Tatizo dada nilisahau nywilaWapm mods wakubadilishie
Haha nimekusoma mkuu , Kakobe kafunga mwaka kama ambavyo Gwajima alifunfua mwaka hawa maasikofu ni miongoni mwa watumishi wa Mungu ninao wapenda ,kwani wameweka unafiki pembeniSiku zote story haziishi ndio maana umeona ametoka dokta shika, amekuja Kakobe...
Basi ukweli wangu nisemee wewe ila mm shunie hapo nimemaliza ila tegemea nikiwa na shida lazima nikuombeHusemi kweli hapa
Simuelewi slim kabisaMbona hujiamini bro[emoji23]
Nywila inahusiana nn na kuwapm mods au mm ndio sielewiTatizo dada nilisahau nywila
Karibu sanaBasi ukweli wangu nisemee wewe ila mm shunie hapo nimemaliza ila tegemea nikiwa na shida lazima nikuombe
Nikaribie wapiii na kufanya niniiKaribu sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] itabidi tu unizoee, sasa hapo wewe unaogopa nini, vitu vya kawaida tuAhahha yaan wewe kuna uzi wako niliusoma kila kitu unaweka kumbu kumbu kuanzia calls text mpaka pic ahahha
kwenye MapupuNikaribie wapiii na kufanya ninii
Nakuogopa mie[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] itabidi tu unizoee, sasa hapo wewe unaogopa nini, vitu vya kawaida tu
Sitakiiiikwenye Mapupu
Kweli kabisa, though Tanzania bado sana sababu watu bado ni waoga kupindukia.Haha nimekusoma mkuu , Kakobe kafunga mwaka kama ambavyo Gwajima alifunfua mwaka hawa maasikofu ni miongoni mwa watumishi wa Mungu ninao wapenda ,kwani wameweka unafiki pembeni
Nikitumia kifaa kingine zaidi ya hiki nilicho download app ya jf siwezi kutumia ID yangu,maana nywila nimesahau naona bora nije na ID nyingine ambayo taitumia kwenye kifaa chochote chenye access na internetNywila inahusiana nn na kuwapm mods au mm ndio sielewi
Kibumbu hajakuelewa.Nywila inahusiana nn na kuwapm mods au mm ndio sielewi