Vigezo lukuki kweli mpaka maombi ya asubuhi??? PoaKudamka ni kawaida mkuu, kwa dunia hii nani analala mpaka saa moja!!! Kawaida naamka kumi na moja, tena hapo nshamaliza na kusali
*****.. Hii lini tena?? Jina la huyu mama huruma halitakaa lisahaulike kamwe..!!!?Mnaotaka kuzeeka endeleeni,sisi wengine tunarudisha umri nyuma[emoji23][emoji23]
Msanii wa filamu Tanzania ambaye pia alishawahi kutwaa taji la mrembo wa Tanzania Wema Abraham Sepetu, amewacharukia na kuwajibu watu wanaoendelea kumsema vibaya kuhusu umri wake sahihi.
Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Wema Sepetu ambaye hivi karibuni amesherehekea siku ya kuzaliwa na kutimiza miaka 29, amesema kama wao ndio wamemzaa basi umri wanaotaja ndio sahihi.
“Hao wanaosema kama wao ndio wamenizaa sawa, lakini aliyenizaa mama yangu Bi Mariam Sepetu ndio anajua umri wangu sahihi, sasa wao wanalazimisha sijui nimezaliwa lini, hawajanizaa wao, walionizaa ni Mariam Sepetu na Dady Isaac Abraham Sepetu sio wao”, amesema Wema Sepetu.
Usisahau kumcheki juu ya goti la kulia kama hakuna alama yoyote mkuu..!!Baada ya muda mrefu wa ukapela hapa JF,nadhani hapa ndio pekee ya kupata ubavu wangu[emoji15]
Juzi kati hapo aliposherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa*****.. Hii lini tena?? Jina la huyu mama huruma halitakaa lisahaulike kamwe..!!!?
Usiniambie we ukiamka huwa husali jamaniVigezo lukuki kweli mpaka maombi ya asubuhi??? Poa
Mimi na wewe kusali haimaanishi na wengine wanasali madam, vigezo vyetu vyaweza fanana ila vya wenzi wetu ni tofautUsiniambie we ukiamka huwa husali jamani
SawaMimi na wewe kusali haimaanishi na wengine wanasali madam, vigezo vyetu vyaweza fanana ila vya wenzi wetu ni tofaut
Ndio ni majirani tunaopendanaUmeanza kunisingizia?nyie si majirani"wapenzi" au umesahau[emoji23][emoji23][emoji23]
JiraniUsimuhamu pm majaliwa unihamu mimi for what?
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani wewe nakaribia kukugawa
Niambie jirani yangu leo hawajakuonea huruma wakufungulie pm japo kidogo hao warembo???Jirani
Sijui ni m cc yule baby wako[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ni majirani tunaopendana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui ni m cc yule baby wako[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuona nakuona...Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho
[emoji3]Woooooooooozaaaaaaaaa [emoji137] [emoji137] [emoji137] jana na leo