Stress Free Zone

Stress Free Zone

Mnaotaka kuzeeka endeleeni,sisi wengine tunarudisha umri nyuma[emoji23][emoji23]

Msanii wa filamu Tanzania ambaye pia alishawahi kutwaa taji la mrembo wa Tanzania Wema Abraham Sepetu, amewacharukia na kuwajibu watu wanaoendelea kumsema vibaya kuhusu umri wake sahihi.

Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Wema Sepetu ambaye hivi karibuni amesherehekea siku ya kuzaliwa na kutimiza miaka 29, amesema kama wao ndio wamemzaa basi umri wanaotaja ndio sahihi.

“Hao wanaosema kama wao ndio wamenizaa sawa, lakini aliyenizaa mama yangu Bi Mariam Sepetu ndio anajua umri wangu sahihi, sasa wao wanalazimisha sijui nimezaliwa lini, hawajanizaa wao, walionizaa ni Mariam Sepetu na Dady Isaac Abraham Sepetu sio wao”, amesema Wema Sepetu.
*****.. Hii lini tena?? Jina la huyu mama huruma halitakaa lisahaulike kamwe..!!!?
 
Baada ya muda mrefu wa ukapela hapa JF,nadhani hapa ndio pekee ya kupata ubavu wangu[emoji15]
Usisahau kumcheki juu ya goti la kulia kama hakuna alama yoyote mkuu..!!
Usije ukafanya wrong selection...
 
Back
Top Bottom