Stress Free Zone

Tufarijiane wajemeni, kuna Dada mmoja nimeachana nae huwa mwezi wa sita sasa yaan siwezi kabisa kumtoa kwenye kichwa changu, and since am in the ryt zone I am expecting vitu vitakazotoa hizi stress.
 
Tufarijiane wajemeni, kuna Dada mmoja nimeachana nae huwa mwezi wa sita sasa yaan siwezi kabisa kumtoa kwenye kichwa changu, and since am in the ryt zone I am expecting vitu vitakazotoa hizi stress.
Kwanza pole kikubwa usiwe peke yako mkuu penda kujichanganya na marafiki halaf kama una vitu vya kukukumbusha kuhusu huyo msichana vichome futa no zake usimuwaze kabisa utamsahau tu Mungu akusaidie
 
Kwanza pole kikubwa usiwe peke yako mkuu penda kujichanganya na marafiki halaf kama una vitu vya kukukumbusha kuhusu huyo msichana vichome futa no zake usimuwaze kabisa utamsahau tu Mungu akusaidie
Shunie katika ubora wako[emoji122] [emoji122]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sitaki kujipa stress Shunie mwenzio bado nipo nipo
[emoji4][emoji4][emoji4] usiogope buana kwenye mahusiano changamoto lazima kwahiyo baby wako geisha enh
 
[emoji4][emoji4][emoji4] usiogope buana kwenye mahusiano changamoto lazima kwahiyo baby wako geisha enh
Baby bado sijapata[emoji85] [emoji85]
Ninatamani nipate hapa kwenye vijiwe vyetu lakini keyboard ina mambo yake.

Unakumbuka muosha masufuria enzi zile alikuzimikia[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ahahaha muosha masufuria kanizimikia muke ya Lee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nakuombea mwifwa upate kama upo serious lakini halaf kingine jiamini kama kuna mdada umeonyeshwa kuvutiwa nae mzoee kuwa karibu nae mfate pm mchat yaan hivyo ila me nitoe me Mrs Lee Empire kiukweli ukweli hatuact tunapika na kulala pamoja
 
Nilicheka sana baada ya kuona ule uzi.

Mimi sina shida nitapata tu Mungu akipenda priority sio kutoka humu jukwaani.

Kuzimikia ndio siwezi kabisaa hata nikiwa hapa nyuma ya keyboard kama wengine wanavyofanya.

Nashukuru sana Shunie kwa Dua yako na mimi nakuombea uwe na mafanikio makubwa kwenye ndoa yako na Baba D.
 
Ameen Mwifwa [emoji120] [emoji120] nakuombea na wewe Mungu aje akupe mke wa kufanana na wewe aliye sahihi kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…