Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
SizipendiiiiZinakushangaa wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SizipendiiiiZinakushangaa wewe
Unapenda zipiSizipendiiii
MaandishiUnapenda zipi
Sawa.Maandishi
SijaelewaSawa.
Tiririka ushauri hapo juu
Poyeeee yaaniMajangaa
Jicho moja aki ni changamoto
Nilimaanisha hii[emoji115]Tufarijiane wajemeni, kuna Dada mmoja nimeachana nae huwa mwezi wa sita sasa yaan siwezi kabisa kumtoa kwenye kichwa changu, and since am in the ryt zone I am expecting vitu vitakazotoa hizi stress.
Sijaelewa
Kwanza pole kikubwa usiwe peke yako mkuu penda kujichanganya na marafiki halaf kama una vitu vya kukukumbusha kuhusu huyo msichana vichome futa no zake usimuwaze kabisa utamsahau tu Mungu akusaidieTufarijiane wajemeni, kuna Dada mmoja nimeachana nae huwa mwezi wa sita sasa yaan siwezi kabisa kumtoa kwenye kichwa changu, and since am in the ryt zone I am expecting vitu vitakazotoa hizi stress.
Shunie katika ubora wako[emoji122] [emoji122]Kwanza pole kikubwa usiwe peke yako mkuu penda kujichanganya na marafiki halaf kama una vitu vya kukukumbusha kuhusu huyo msichana vichome futa no zake usimuwaze kabisa utamsahau tu Mungu akusaidie
Mungu kaumba kusahau Mwifwa atamsahau Mungu amsaidie mapenzi uyasikie tu yanaumiza sana najua anavyojisikia hapoShunie katika ubora wako[emoji122] [emoji122]
Kweli kabisa Shunie mimi mwenyewe nayanyapia nyapia kwa mbaliMungu kaumba kusahau Mwifwa atamsahau Mungu amsaidie mapenzi uyasikie tu yanaumiza sana najua anavyojisikia hapo
Jamaan usiniambie na wewe unateseka kwa ajili ya wifi mwifwaKweli kabisa Shunie mimi mwenyewe nayanyapia nyapia kwa mbali
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Jamaan usiniambie na wewe unateseka kwa ajili ya wifi mwifwa
[emoji4][emoji4][emoji4] usiogope buana kwenye mahusiano changamoto lazima kwahiyo baby wako geisha enh[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sitaki kujipa stress Shunie mwenzio bado nipo nipo
Baby bado sijapata[emoji85] [emoji85][emoji4][emoji4][emoji4] usiogope buana kwenye mahusiano changamoto lazima kwahiyo baby wako geisha enh
Ahahaha muosha masufuria kanizimikia muke ya Lee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nakuombea mwifwa upate kama upo serious lakini halaf kingine jiamini kama kuna mdada umeonyeshwa kuvutiwa nae mzoee kuwa karibu nae mfate pm mchat yaan hivyo ila me nitoe me Mrs Lee Empire kiukweli ukweli hatuact tunapika na kulala pamojaBaby bado sijapata[emoji85] [emoji85]
Ninatamani nipate hapa kwenye vijiwe vyetu lakini keyboard ina mambo yake.
Unakumbuka muosha masufuria enzi zile alikuzimikia[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nilicheka sana baada ya kuona ule uzi.Ahahaha muosha masufuria kanizimikia muke ya Lee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nakuombea mwifwa upate kama upo serious lakini halaf kingine jiamini kama kuna mdada umeonyeshwa kuvutiwa nae mzoee kuwa karibu nae mfate pm mchat yaan hivyo ila me nitoe me Mrs Lee Empire kiukweli ukweli hatuact tunapika na kulala pamoja
Ameen Mwifwa [emoji120] [emoji120] nakuombea na wewe Mungu aje akupe mke wa kufanana na wewe aliye sahihi kwakoNilicheka sana baada ya kuona ule uzi.
Mimi sina shida nitapata tu Mungu akipenda priority sio kutoka humu jukwaani.
Kuzimikia ndio siwezi kabisaa hata nikiwa hapa nyuma ya keyboard kama wengine wanavyofanya.
Nashukuru sana Shunie kwa Dua yako na mimi nakuombea uwe na mafanikio makubwa kwenye ndoa yako na Baba D.
Ahsante sana.Ameen Mwifwa [emoji120] [emoji120] nakuombea na wewe Mungu aje akupe mke wa kufanana na wewe aliye sahihi kwako