Stress Free Zone

Stress Free Zone

Ahahaha muosha masufuria kanizimikia muke ya Lee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nakuombea mwifwa upate kama upo serious lakini halaf kingine jiamini kama kuna mdada umeonyeshwa kuvutiwa nae mzoee kuwa karibu nae mfate pm mchat yaan hivyo ila me nitoe me Mrs Lee Empire kiukweli ukweli hatuact tunapika na kulala pamoja
Nakuona ujue
 
Nilicheka sana baada ya kuona ule uzi.

Mimi sina shida nitapata tu Mungu akipenda priority sio kutoka humu jukwaani.

Kuzimikia ndio siwezi kabisaa hata nikiwa hapa nyuma ya keyboard kama wengine wanavyofanya.

Nashukuru sana Shunie kwa Dua yako na mimi nakuombea uwe na mafanikio makubwa kwenye ndoa yako na Baba D.
Hallelujah
 
Back
Top Bottom