Huku ni utulivu tuliNi poa veep huko
Ndio nimetoka huko nimepost nimetokaYaani nilitamani uwepo kwenye uzi wake halafu tupige soga zetu hadi atukome.
Nilikuwa na Sakayo tu hata genge halikuchangamka
Umefanya vyema maana si kwa kulalamika ukoNdio nimetoka huko nimepost nimetoka
Tulia huyo mtoto muache apumzike.Popote ulipo carba, KK mchochezi[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Shunie unataka kuninyima nini mbona salam za aina hii.Shikamoo KK
Tukampime urine[emoji23][emoji23][emoji23]Popote ulipo carba, KK mchochezi[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mvua vipiii hukoHuku ni utulivu tuli
Na kweli acha nirudi kulala[emoji19][emoji19]Tulia huyo mtoto muache apumzike.
Inakuwaje mtu unalilia likes jamanUmefanya vyema maana si kwa kulalamika uko
Cc carbaTulia huyo mtoto muache apumzike.
Urine yangu ni dawa, sipeleki kwa mkemia mimiTukampime urine[emoji23][emoji23][emoji23]
We pimbi umeamka?Tukampime urine[emoji23][emoji23][emoji23]
Kiangazi kinapanda ngazi tu hukuMvua vipiii huko
Najua umrchoka sana ila mvumilie tu kipenziNa kweli acha nirudi kulala[emoji19][emoji19]
Nadhani umemuona.Cc carba
Nashangaa sijui hajawahi kuuona uzi wa likes?Inakuwaje mtu unalilia likes jaman
Hapo hapana kuna salam za kupiga lock na kunyima baadhi ya vitu[emoji23]Jaman heshima tu niliyonayo mm kwa wakubwa wangu
Niitie shemeji yako carba jamaanNadhani umemuona.
Yaani acha tu[emoji30][emoji30]Najua umrchoka sana ila mvumilie tu kipenzi