Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kweli kabisa, ndio maana Le mbebezz anakula bataUzee mjini marufuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa, ndio maana Le mbebezz anakula bataUzee mjini marufuku
Hapa wanawake wote wamefunga PM....Naiona FURSA hapa nitakujaga PM
Ila tuchunge ndoto zile zenye raha sana usiku tusije kuamka ndani ya swimming poolMjini kila mtu baby
Kweli bado upo, naona Shunie ameuvamia napata notification zakeUpo bhana
Aiseeeee
Halaf hawana akili wenzao wana watoto haoHapo sasa anataka wafanyakazi wote wa Clouds wasimuwish zamaradi HB
Nimeuona mama niliku hukoAm introducing myself - Anna Maria Buberwa
Cc:Shunie uzi huo ila umepigwa kufuli
Na kwako pia kaka [emoji120]Mchana mwema.
Baadae mungu akipenda
Zamu ya nani leo mvivu huyo?Ingia nayo tu bado hawajafagia.
Yani sielewi nini mbaya mamii,nashangaa tu tunapishana. Hii quote yako nimeona kibahati tu my dearMamy ni nini mbaya jamani.... Nimekumiss ujue
Afu weweMe niko na 14 sitaki masihara
Duh nimepotea nini huku si mtanisuta sana! mbona kama mmetawala sana dada zetu au ni kwa makungwi tu! tukimbie fastaMkuu karibu na hapo si nimewakaribisha wote. Karibu sana