Stress Free Zone

Stress Free Zone

Ndoa hupangwa na Mungu na ukiona unaemchagua hakupelekei kwenda kwenye ndoa rudi kwa Mungu

Mwambie Mungu nampenda Fulani kama ni wangu kwa maisha yangu nisaidie na kama sie ni huyu anaeletwa bas nipe mapenzi

Habar za kumng'ang'ania mwanaume unajuaje kama ndo huyo wa kwako haya mambo sio kung'ang'ania muombe Mungu atakusimamishia tu wakwako

Na utampenda na kuishi vizur usianze kusema sio chaguo langu,,huyo mwingine nani alikwambia chaguo lako

Ndo siku mbili unaolewa ooh bora ningewasikiliza wazazi, waume wakuchaguliwa sio wazuri ila inapotokea migogoro simama na Mungu akupe wako [emoji120]

Muwe na mchana mwema [emoji120]
Mmmmh
 
Back
Top Bottom