dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
usiogope binadamu kulaumiwa ni kawaida wewe, pambana na hali yakoAcha kutuficha bana.
Shauri yako tusije kulaumiana
Cc Shunie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiogope binadamu kulaumiwa ni kawaida wewe, pambana na hali yakoAcha kutuficha bana.
Shauri yako tusije kulaumiana
Cc Shunie
Teh labda anakula kisirisiri si unajua wengine humu masillent killermimi sina mzigo comrade..!! wewe sasambula tu
Acha kutuficha bana.
Shauri yako tusije kulaumiana
Cc Shunie
Mwache bana Baba D apige kazi huko[emoji4][emoji4]Namtoa namrudisha Baba D
Namrudisha mimiMwache bana Baba D apige kazi huko
heehhhehee...!!! shem hamna bana siwezi ficha pumziko langu hata kidogo mficha uchi hazaiTeh labda anakula kisirisiri si unajua wengine humu masillent killer
Sitaki bana.Namrudisha mimi
labda ujaona ila wewe ndie mlengwa, vp. mwenzio ajambo??[emoji15] [emoji15] [emoji15] mm mbona haujaniquote me umepost jukwaani
Na mficha maradhi kifo humuumbua ujue we endelea kula kimya kimya kumbe mpo wengi mmepangwa me mambo hizo sitaki kabisaheehhhehee...!!! shem hamna bana siwezi ficha pumziko langu hata kidogo mficha uchi hazai
Ahahhahah unaondokaSitaki bana.
Basi baadae kwanza
Mwenzangu mzima sana wewe jelabda ujaona ila wewe ndie mlengwa, vp. mwenzio ajambo??
aisee..!!! hapa sasa wahenga washachukua nafasi[emoji1]Na mficha maradhi kifo humuumbua ujue we endelea kula kimya kimya kumbe mpo wengi mmepangwa me mambo hizo sitaki kabisa
aisee..!!! hapa sasa wahenga washachukua nafasi[emoji1]Na mficha maradhi kifo humuumbua ujue we endelea kula kimya kimya kumbe mpo wengi mmepangwa me mambo hizo sitaki kabisa
mimi mzima kabisaaa wa afya teleteleMwenzangu mzima sana wewe je
Hapo sawa mambo ya kufichana haya kumbe mmepangwa mpo mia me sitaki nijulikane ujulikane na wezi pia wakija wanajulikanaaisee..!!! hapa sasa wahenga washachukua nafasi[emoji1]
kwakwel siwezi siwezi kuficha pumziko langu hata kidogo ndio na dunia ya leo hii si utapata presha
[emoji1] [emoji1] aiseee huo ni kweli mtupuHapo sawa mambo ya kufichana haya kumbe mmepangwa mpo mia me sitaki nijulikane ujulikane na wezi pia wakija wanajulikana
Huo ndio ukweli dingimtoto why akufiche fiche kama mnapendana anamuogopa naniii ukiona mambo hizo kama unajielewa inabidi ujiongeze tu[emoji1] [emoji1] aiseee huo ni kweli mtupu
naam..!! ukiona unawekwa hivo ujue kuna kamsemo wanaita utakuwa mpenzi msindikizajiHuo ndio ukweli dingimtoto why akufiche fiche kama mnapendana anamuogopa naniii ukiona mambo hizo kama unajielewa inabidi ujiongeze tu
Ni kweli mydearTunapishana mamy lakini kikubwa uzima
MmmmhAsante unataka kuninyima ninii eti
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ahahhahah unaondoka