Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji120] [emoji120] Asante mkuu karibu sananikikuona kamoyo tuliii [emoji7]
Respect you
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120] [emoji120] Asante mkuu karibu sananikikuona kamoyo tuliii [emoji7]
Respect you
Hata me naona jamanHuku poaaa
Lete mpya jamani ShunieHata me naona jaman
Busy na ndoa ujue Mwifwa jf ipo tuuuLete mpya jamani Shunie
Naona watu wanaendelea kuingia mitini kama Linamo na dada yangu emmyta
Kweli kabisa maana ukhuty naye karejea leoBusy na ndoa ujue Mwifwa jf ipo tuuu
Nimemuona jaman tulimmiss sanaKweli kabisa maana ukhuty naye karejea leo
Uzalendo ulijia juu kidogo nianzishe operesheni ya kumtafuta kwa uziNimemuona jaman tulimmiss sana
AhahahhhUzalendo ulijia juu kidogo nianzishe operesheni ya kumtafuta kwa uzi
Unajua inafika kipindi jukwaa lipo kimya kutokana na watu kuwa busy japo si lazima tuwepo hapa jukwaani kila mudaAhahahhh
Ni kweli unachoongea tukipata mda kama hivi tunaingiaUnajua inafika kipindi jukwaa lipo kimya kutokana na watu kuwa busy japo si lazima tuwepo hapa jukwaani kila muda
Hapa ni pa kubadilishana mawili matatu baada ya kazi muhimu za kila siku kwa ajili ya kusukuma Lori la MaguNi kweli unachoongea tukipata mda kama hivi tunaingia
Kweli kabisaHapa ni pa kubadilishana mawili matatu baada ya kazi muhimu za kila siku kwa ajili ya kusukuma Lori la Magu
Sijajua kama Baba D hajambo, ivi hajambo? Sijamuona jukwaani kwa muda mrefu au bado umehack bundle lake[emoji23] [emoji23]Kweli kabisa
Ahahhah Baba D hajambo sana ametoka jukwaani ujueSijajua kama Baba D hajambo, ivi hajambo? Sijamuona jukwaani kwa muda mrefu au bado umehack bundle lake[emoji23] [emoji23]
Ahaaa.Ahahhah Baba D hajambo sana ametoka jukwaani ujue
Ameamua kupumzika akijisikia kurudi atarudi tuAhaaa.
Sio vibaya kama majukumu yamemkaba
kapeace hivi umetologa mbona mkono unajikuta umekutag tu
Hapo sawaAmeamua kupumzika akijisikia kurudi atarudi tu