Stress Free Zone

Stress Free Zone

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata mm mambo ya mvurugiko wa tumbo huwa sijali kuna siku nipo huko ndaniii nikakutana nayo nipo na dada angu nisiende kukaa nikaagiza ya buku hiyo sehemu ney acha tu mazingira yake dada angu aliniambia nakuacha unachokitafuta utakipata sijui tumbo sijui ninii nikamwambia niacheee nikajilia mapupu yangu na chapati zangu na soda nimetoka hapo roho ina amani kula kitu inapenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo mazingira ndio huwa kizunguzungu, lakini mie nikiwa na hamu zangu wala sijali nakaa nakula roho yangu burudani, yaan hata sitakagi kuangalia pilipili inapotolewa maana waweza pata mvurugiko ghafla [emoji23][emoji23][emoji23],ni kujifanya huoni tuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajifanya umevaa miwani ya mbao mazingira yale hapana jamaan
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo mazingira ndio huwa kizunguzungu, lakini mie nikiwa na hamu zangu wala sijali nakaa nakula roho yangu burudani, yaan hata sitakagi kuangalia pilipili inapotolewa maana waweza pata mvurugiko ghafla [emoji23][emoji23][emoji23],ni kujifanya huoni tuu.
Upo vizuri hutaki kujiathiri kisaikolojia
 
Back
Top Bottom