Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Nakumbuka kuna siku ulisema mbona me sijawahi pata pm ya mwanamke nyie mnaolalamika mnatongozwa pm na wanawake kuna thread moja mwanaume alikuwa analalamika anatongozwa sana pm na wanawakeAcha kidogo na mimi niringe, sio kila siku wengine tu