Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Yani mchana katika pitapita zangu kule MMU nikakutana na uzi kuna mtu anadai amedata kwa mtoto wa kitanga,ilibaki kidogo tu nichafue hali ya hewa nilidhani amekuzimika wewe.
Ahahhaha ulikuwa unamuhusu nani siku hizi mmu me sio sanaNdo ukataka niuzia kesi eeh