Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Eti Shunie siku imeenda vizuri?Habari ya muda huu wapendwa, ni matumaini yangu siku imewaendea vizuri kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti Shunie siku imeenda vizuri?Habari ya muda huu wapendwa, ni matumaini yangu siku imewaendea vizuri kabisa.
Natumia lugha zetu zile...!Mmmh
Ako na vitenesi ama
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Itabidi yeye atangulie,akigeuka nyuma haupooo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mdogo wako anapenda kuchezea vitenesi vya Youngblood [emoji41][emoji41]
Shunie anapika muache kwanza ataunguza bure,watu walale na njaa.Eti Shunie siku imeenda vizuri?
Aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mdogo wako anapenda kuchezea vitenesi vya Youngblood [emoji41][emoji41]
Kwa maelezo ya shunie hayo ndio mapupuHaya ndiyo mapupu?
Mbona vipupu vidogo hivyo,au vimedumaaKwa maelezo ya shunie hayo ndio mapupu
Hahaaaa!Mmmh
Ako na vitenesi ama
DaaahHilo pera huku bado halijaiva, sasa nitafikaje huko jirani!!
MmmhKama kawaida yako
PoaaaaUpo shem wake
Aki weweNatumia lugha zetu zile...!
Kina Naveen wako pembeni hapa..! Naona wanaunga silabi ili wasome [emoji3][emoji3]
Anapika wakati yupo makapukuShunie anapika muache kwanza ataunguza bure,watu walale na njaa.
Ale kabisa ashibe...Shunie anapika muache kwanza ataunguza bure,watu walale na njaa.
Nadhani utakuwa umemfananishaAnapika wakati yupo makapuku
Hahahaa [emoji3][emoji3]Aki wewe